Waaugustino
Waaugustino ni hasa watawa wanaofuata kanuni ya Agostino wa Hippo. Kwa Kilatini shirika lao linaitwa Ordo Fratrum Sancti Augustini. Tangu muda mrefu linahesabiwa kati ya mashirika ya ombaomba.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Katika karne XII zilikuwepo jumuia nyingi zilizofuata kanuni hiyo. Katikati ya karne XIII, kwa juhudi za kardinali Riccardo Annibaldi, ulianza mchakato wa kuziunganisha.
Tarehe 16 Desemba 1243 Papa Inosenti IV alitoa hati Incumbit nobis ili kuhimiza mchakato huo, hata Machi 1244 shirika likaanzishwa.
Baadhi ya Waaugustino katika karne zilizofuata walifanya juhudi za urekebisho na kuanzisha matawi mapya.
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 2025, mbali na matawi hayo yaliyojitegemea, shirika lilikuwepo katika mabara yote likiwa na konventi 395 na watawa 2,341, wengi kati yao walikuwa mapadri.[1] Maarufu zaidi kati yao ni Papa Leo XIV, Papa wa kwanza kutoka shirika hilo.
Kati ya nchi 46 ambako shirika linaishi, kuna Kenya na Tanzania.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Bibliography for the Augustinian official website
- Augustine of Hippo, The Rule of St Augustine Constitutiones Ordinis Fratrum S. Augustini (Rome 1968)
- The Augustinians (1244–1994): Our History in Pictures. Pubblicazioni Agostiniane, Roma, Italy.
- Canning; R. (1984). The Rule of St Augustine. Darton, Longman and Todd.
- Ebsworth, Rev. Walter (1973). Pioneer Catholic Victoria. Polding Press. ISBN 0-85884-096-0.
- Eckermann, Karl W. (1999), "Augustinians", katika Fahlbusch, Erwin (mhr.), Encyclopedia of Christianity, juz. la 1, Grand Rapids: Wm. B. Eerdmans, ku. 164–165, ISBN 0-8028-2413-7
- Ilko, Krisztina (2023). "Forging the Augustinian Past: The Rule-Giving of St Augustine in a Duecento Gradual". Gesta. 62 (1): 95–126. doi:10.1086/723217.
- Ilko, Krisztina (2021). "Recovering the Augustinian Convent of San Salvatore in Venetian Candia". Journal of Ecclesiastical History. 72 (2): 259–279. doi:10.1017/S0022046920000755.
- Hackett; Michael Benedict (2002). A Presence in the Age of Turmoil: English, Irish and Scottish Augustinians in the Reformation and Counter-Reformation. Augustinian Historical Institute, Villanova University, Pennsylvania. ISBN 1-889542-27-X.
- Hickey, P. J. (1981). A History of the Catholic Church in Northern Nigeria. Augustinian publications in Nigeria, Jos, Plateau State, Nigeria.
- edited by Martin; F. X. & Clare O'Reilly. The Irish Augustinians in Rome, 1656–1994 and Irish Augustinian Missions throughout the World. St. Patrick's College, Roma, Italy.
{{cite book}}:|author1=has generic name (help) - Orbis Augustinianus sive conventuum O. Erem. S. A. chorographica et topographica descriptio Augustino Lubin, Paris, 1659, 1671, 1672.
- Rano, Balbino (1994). Augustinian Origins, Charism, and Spirituality. Villanova, PA: Augustinian Press.
- Règle de S. Augustin pour les réligieuses de son ordre; et Constitutions de la Congregation des Religieuses du Verbe-Incarne et du Saint-Sacrament (Lyon: Chez Pierre Guillimin, 1662), pp. 28–29. Cf. later edition published at Lyon (Chez Briday, Libraire, 1962), pp. 22–24. English edition, The Rule of Saint Augustine and the Constitutions of the Order of the Incarnate Word and Blessed Sacrament (New York: Schwartz, Kirwin, and Fauss, 1893), pp. 33–35.
- Zumkeller, Adolar (1986). Augustine's Ideal of the Religious Life. Fordham University Press, New York.
- Zumkeller, Adolar (1987). Augustine's Rule. Augustinian Press, Villanova, Pennsylvania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waaugustino kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |