Gafsa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwonekano wa mji wa Gafsa
Magofu ya majengo ya kirumi huko Gafsa

Gafsa (kwa Kiarabu: قفصة "qafṣah", hapo awali paliitwa Capsa katika Kilatini) ni mji mkuu wa mkoa wa Gafsa huko Tunisia. Jina lake limetokana na utamaduni wa kicapsa wa kimesolithiki.

Gafsa ina idadi ya wakazi takribani 105,264. Hivyo ni mji wa tisa kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo kilomita 335 kutoka mji mkuu Tunisi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gafsa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.