Msumari
Msumari (pia: msumali) ni nondo nyembamba ya chuma au feleji yenye ncha na kichwa. Inatumiwa kwa kufunga kitu juu ya kitu kingine.
Kwa kawaida hupigwa kwa kutumia nyundo na hivyo kuingizwa katika ubao au ukutani.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msumari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |