Nyundo ni kifaa kinachotumika katika shughuli za useremala na ujenzi.
Nyundo ni zana ya mkononi inayotumiwa hasa katika kugongelea misumari na kuvunja vitu.
Nyundo huwa zinatofautiana katika uzito, ukubwa na muundo, kulingana na malengo yake.