Useremala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Vifaa vya kimapokeo vya seremala, Makumbusho ya Cervo, Liguria, Italia.
Maseremala kazini katika kijiji cha India.
Tabaka la maseremala huko Panjab, India (1825)
Kanisa la mbao la karne ya 17 nchini Russia.
Maseremala wa leo kazini.

Useremala (kutoka neno la Kiajemi na la Kiarabu) ni aina ya ufundi ambayo kimapokeo ilitegemea mbao, lakini siku hizi hata vitu vingine[1]. [2].

Seremala anashughulikia masanduku ya kumwagia zege, milango na madirisha kuanzia fremu zake, fenicha, makenji n.k.

Mara nyingi mtu anajifunza kazi hiyo kwa kusaidia seremala stadi, lakini siku hizi kuna vyuo vingi vinavyofundisha fani hiyo.

Hata upande wa vifaa, badala ya vile vinavyotegemea nguvu ya mikono, siku hizi wengi wanatumia mashine maalumu ya kuchania, kurandia n.k.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Roza, Greg. A career as a carpenter. New York: Rosen Pub., 2011. 6. Print.
  2. Vogt, Floyd, and Gaspar J. Lewis. Carpentry. 4th ed. Clifton Park, NY: Thomson Delmar Learning, 2006.xvi Print.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]