Shughuli za binadamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
watu wakiwa ziwani wanavua samaki

Shughuli za binadamu ni shughuli ambazo binadamu huzifanya ili kujipatia yale anayoyahitaji. Mfano wa shughuli hizo ni:

Pia binadamu anapofanya shughuli hizo huweza kuleta faida au hasara katika jamii. Baadhi ya faida hizo ni:

  • 1. kujipatia kipato
  • 2. kuongeza pato la taifa
  • 3. kutokuwe kwa janga la njaa n.k
  • 4. hutusaidia katika elimu mfano uvunaji wa miti hutuwezesha kupata karatasi.

Katika shughuli hizo pia binadamu huweza kuleta hasara mbalimbali katika jamii na taifa kwa ujumla.baadhi ya hasara hizo ni

  • 1. uharibifu wa mazingira
  • 2. janga la njaa kuongezeka
  • 3. uchafuzi wa hali ya hewa
  • 4. ongezeko la joto duniani
  • 5. kupungua kwa pato la taifa
  • 6. kutokea kwa mmomonyoko wa udongo na kadhalika
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shughuli za binadamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.