Nenda kwa yaliyomo

Jean-Jacques Rousseau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jean-Jacques Rosseau

Jean-Jacques Rousseau, (28 Juni, 17122 Julai, 1778) alikuwa mwanafalsafa, mwandishi na mwanasayansi mashuhuri nchini Ufaransa wakati wa kipindi cha mwangaza. Alizaliwa mjini Geneva (Uswisi) akajiona mwenyewe kama mtu wa Geneva maisha yote.

Athira yake ilikuwa muhimu kwa maandalizi ya mapinduzi ya Kifaransa iliyoanza baada ya kifo chake na pia kwa nadharia za kisiasa za karne za 19 na 20.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Jacques Rousseau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.