Zbigniew Strzałkowski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Zbigniew Strzałkowski (aliyezaliwa Tarnow tarehe 2 Julai 1958) ni mmojawao Wafiadini wa Pariacoto, mapadri wawili wa utawa wa Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Polandi waliouawa na magaidi wa Sendero Luminoso huko Pariacoto (Peru) tarehe 9 Agosti 1991.

Mwenzake alikuwa Michał Tomaszek (aliyezaliwa Łękawica tarehe 23 Septemba 1960).

Papa Fransisko amewatangazwa wenye heri wafiadini tarehe 5 Desemba 2015.

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zbigniew Strzałkowski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.