Goar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Goar katika Nuremberg Chronicle, 1493 hivi.

Goar (Aquitaine, leo nchini Ufaransa, 585 hivi - Oberwesel, Austrasia, leo nchini Ujerumani, 6 Julai 649[1]) alikuwa padri na mkaapweke aliyejenga hoteli na hospitali kwa ajili ya kuwahudumia kiroho na kimwili wapitanjia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 6 Julai[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Many sources place Goar's life from c. 500–575; however, Catholic Encyclopedia's account of his audience with King Sigebert III, who lived c. 630–660, is coherent.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.