Verner von Heidenstam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Verner von Heidenstam alivyochorwa na Oscar Bjoerck
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Verner von Heidenstam (6 Julai 185920 Mei 1940) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika mashairi na riwaya. Mwaka wa 1916 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Verner von Heidenstam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.