Nazaria Ignasya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Nazaria Ignasya.

Nazaria Ignasya wa Mt. Teresa (Madrid, Hispania, 10 Januari 1889Buenos Aires, Argentina, 6 Julai 1943) alikuwa bikira mwanzilishi wa shirika la masista Misioneras Cruzadas de la Iglesia.

Alifanya umisionari katika nchi mbalimbali za Amerika ya Kilatini[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 1992, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 14 Oktoba 2018.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.