Papa Honorius IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Honori IV.

Papa Honorius IV (takriban 12103 Aprili 1287) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Aprili 1285 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo Savelli.

Alimfuata Papa Martino IV akafuatwa na Papa Nikolasi IV.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.