Majadiliano:Orodha ya mapapa
Mandhari
Oliver, nisipokosei uwingi wa "papa" (kama ni mkuu wa kanisa) ni "mapapa". Sawa na daktari n.k. Unaonaje? --62.154.201.129 22:54, 20 Juni 2007 (UTC)
- Sawa kabisa, ni "mapapa". Asante! --Oliver Stegen 23:03, 20 Juni 2007 (UTC)