Papa Martin I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Martino I.

Papa Martin I alikuwa papa kuanzia 21 Julai 649 hadi kifodini chake tarehe 16 Septemba 655.

Alimfuata Papa Theodor I akafuatwa na Papa Eugenio I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 13 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.