Mtaguso wa Laterano (649)
Mandhari
Mtaguso wa Laterano wa mwaka 649 ulifanyika katika Kanisa kuu la Roma (Italia) kwa agizo la Papa Martin I ili kulaani mafundisho yaliyoshikwa na Wakristo wengi wa mashariki ya kwamba Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu[2].
Ni jaribio la kwanza la Papa kuitisha mtaguso mkuu bila kibali cha Kaizari. Ingawa mtaguso huo haukukubaliwa kuwa mtaguso wa kiekumeni, maamuzi yake yalipitishwa na Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli mwaka 680.
Hati za mtaguso huo
[hariri | hariri chanzo]Concilium Lateranense a. 649 celebratum, ed. Rudolf Riedinger (Berlin, 1984). Includes both Greek and Latin texts.
The Acts of the Lateran Synod of 649. Translated with commentary by Richard Price and contributions by Phil Booth and Catherine Cubitt, Translated Texts for Historians 61, Liverpool 2014.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Concilium Lateranense a. 649 celebratum, ed. Rudolf Riedinger (Berlin, 1984).
- ↑ According to Andrew Ekonomou, the irony of the council was that the denunciation of the theology of Constantinople came from the "collaboration of a Greco-Palestinian pope and a Constantinopolitan monk employing a style of theological discourse whose tradition was purely Eastern."
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590-752. Lexington Books.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtaguso wa Laterano (649) kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |