5 Februari
Jump to navigation
Jump to search
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Februari ni siku ya thelathini na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 329 (330 katika miaka mirefu).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1265 - Uchaguzi wa Papa Klementi IV
- 1977 - Kuundwa kwa Chama cha Mapinduzi, chama tawala cha Tanzania
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 976 - Sanjo, mfalme mkuu wa Japani (1011-1016)
- 1564 - Galileo Galilei, mwanaastronomia kutoka Italia
- 1914 - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1946 - Charlotte Rampling, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza.
- 1965 - Gheorghe Hagi, mchezaji wa mpira kutoka Romania
- 1974 - Omarosa Manigault, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1985 - Cristiano Ronaldo, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 806 - Kanmu, mfalme mkuu wa Japani (781-806)
- 1597 - Watakatifu Paulo Miki, padri S.I., na wenzake 25 wafiadini nchini Japani
- 1967 - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile alijiua
- 1972 - Marianne Moore, mashairi kutoka Marekani
- 2020 - Kirk Douglas
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agatha, Wafiadini wa Ponto, Avito wa Vienne, Injenwino, Albuino, Yesu Mendez n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |