Nenda kwa yaliyomo

Luka wa Demenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luka wa Demenna (Demenna, Sicilia, 918 hivi - Armento, Basilicata, 13 Oktoba 984) alikuwa mmonaki kwanza huko Sicilia, halafu sehemu mbalimbali kufuatana na uvamizi wa Waarabu wa kisiwa hicho alipozaliwa, na hatimaye abati wa Ukristo wa Mashariki katika Italia Kusini ya leo, hadi alipofariki katika monasteri aliyoianzisha mwenyewe[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Februari[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91273
  2. Martyrologium Romanum
  • Salvatore Bottari e Istituto di studi storici Gaetano Salvemini, Problemi e aspetti di storia dei Nebrodi, Pungitopo, 1999.
  • Cosimo Damiano Fonseca e Antonio Lerra, Il monastero di S. Elia di Carbone e il suo territorio dal Medioevo all'età moderna, Congedo, 1996.
  • Francesco Russo, Luca di Demenna o d'Armento, in Bibliotheca Sanctorum, VIII.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.