Nenda kwa yaliyomo

Charlotte Rampling

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charlotte Rampling

Charlotte Rampling mnamo 2012
Amezaliwa Tessa Charlotte Rampling
5 Februari 1946 (1946-02-05) (umri 78)
Sturmer, Essex, Uingereza
Kazi yake mwigizaji
Miaka ya kazi 1965 - mpaka sasa
Ndoa Bryan Southcombe (1972-1976)
Jean Michel Jarre (1978-1998)

Tessa Charlotte Rampling (amezaliwa tar. 5 Februari 1946) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Uingereza.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: