Papa Innocent XI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwenye heri Papa Inosenti XI.

Papa Innocent XI (16 Mei 161112 Agosti 1689) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Septemba/4 Oktoba 1676 hadi kifo chake[1]. Alitokea Como, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Odescalchi.

Alimfuata Papa Klementi X akafuatwa na Papa Aleksanda VIII.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 7 Oktoba 1956.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.