Papa Alexander III
Jump to navigation
Jump to search
Papa Alexander III (kati ya 1100 na 1105 – 30 Agosti 1181) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7 Septemba 1159 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rolando Bandinelli.
Alimfuata Papa Adriano IV akafuatwa na Papa Lucius III.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |