7 Septemba
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Septemba ni siku ya 250 ya mwaka (ya 251 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 115.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 923 - Suzaku, mfalme mkuu wa Japani (930-946)
- 1819 - Thomas Hendricks, Kaimu Rais wa Marekani (1885)
- 1917 - John Cornforth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 1940 - Dario Argento, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 1962 - Jennifer Egan, mwandishi kutoka Marekani
- 1964 - Eazy-E, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1208 - Mtakatifu Stefano wa Châtillon, askofu nchini Ufaransa
- 1783 - Leonhard Euler, mwanahisabati kutoka Uswisi
- 1907 - Sully Prudhomme, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1901
- 1991 - Edwin McMillan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 1997 - Mobutu Sese Seko, Rais wa nchi ya Zaire
- 2014 - Don Keefer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rejina wa Alise, Sozonti, Festo na Desideri, Evurzi, Memori na wenzake, Klod, Marko Krisini na wenzake n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |