Mwanahisabati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwanahisabati ni mtaalamu anayetumia ujuzi mpana wa hisabati katika kazi yake, ili kutatua mafumbo ya kihisabati.

Wanahisabati maarufu kwa mpangilio wa tarehe[hariri | hariri chanzo]

Wengineo ni: Brahmagupta, Johann Bernoulli, Jacob Bernoulli, Aryabhata, Bhāskara II, Hasan Ibn Haytham, Bonaventura Cavalieri, Alexander Grothendieck, Paul Erdős, Blaise Pascal, John von Neumann, Alan Turing, Tullio Levi-Civita Kurt Gödel, Augustin-Louis Cauchy, Georg Cantor, William Rowan Hamilton, Carl Jacobi, Nikolai Lobachevsky, Andrey Kolmogorov, Joseph Fourier, Giuseppe Peano na Pierre-Simon Laplace.