Leonard Euler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Leonhard Euler)
Jump to navigation Jump to search
Leonhard Euler

Leonhard Euler (tamka oiler) (15 Aprili 17077 Septemba 1783) alikuwa mtaalamu wa hisabati na fizikia kutoka nchini Uswisi. Sehemu kubwa ya maisha yake alikaa Ujerumani na Urusi.

Alitunga maneno mengi yanayoendelea kutumiwa hadi leo na wanahisabati alianza kutumia alama kama π kama namba ya duara au ∑ kwa jumla ya hesabu.