Nenda kwa yaliyomo

Leonard Euler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leonhard Euler

Leonhard Euler (tamka oiler) (15 Aprili 17077 Septemba 1783) alikuwa mtaalamu wa hisabati na fizikia kutoka nchini Uswisi. Hata hivyo, sehemu kubwa ya maisha yake alikaa Ujerumani na Urusi.

Alitunga maneno mengi yanayoendelea kutumiwa hadi leo na wanahisabati; alianza kutumia alama kama π kama namba ya duara au ∑ kwa jumla ya hesabu.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonard Euler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.