Memori na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Memori na wenzake (walifariki Breuil, leo nchini Ufaransa, 451 hivi) walikuwa Wakristo waliopata kifodini katika dhuluma ya Attila, mfalme wa Wahunni[1][2].

Memori alikuwa shemasi mmojawapo wa askofu Lupo.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 7 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.