Grato wa Aosta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Grato wa Aosta

Sanamu yake.
Feast 7 Septemba

Grato wa Aosta (pia: Gra, Grat, Gratus; karne ya 5 - Aosta, Italia Kaskazini, 7 Septemba 470) anakumbukwa kama askofu wa 2 wa mji huo baada ya kuwa padri chini ya Eustasi [1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Gore, Charles. "Gratus (4)", A Dictionary of Christian Biography, (William Smith and Henry Wace, eds.), John Murray, 1880
  2. [http://www.santiebeati.it/dettaglio/34550
  3. Odden, Per Einer. "Den hellige Gratus av Aosta ( -~470)", Den katolske kirke, April 5, 2004
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Béthaz, Pierre Joseph (1884). Vie de saint Grat évêque et patron du diocèse d'Aoste Aoste: Édouard Duc. (Kifaransa)
  • Frutaz, Amato Pietro (1966). Le fonti per la storia della Valle d'Aosta. Thesaurus Ecclesiarum Italiae I, 1. Roma: Ed. di Storia e Letteratura. ku. 289–290. GGKEY:G2G579NHXT9. (Kiitalia)
  • Savio, Fedele (1898). Gli antichi vescovi d'Italia dalle origini al 1300 descritti per regioni: Il Piemonte. Torino: Fratelli Bocca. ku. 72–76. (Kiitalia)
  • Stilting, Johannes (1750). Acta Sanctorum Septembris. Juz. Tomus III. Antwerp: Bernardus Albertus vander Plassche. ku. 72–78. (Kilatini)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.