Edwin McMillan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edwin Mattison McMillan

Edwin Mattison McMillan (18 Septemba 19077 Septemba 1991) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua elementi ya neptunium. Mwaka wa 1951, pamoja na Glenn Seaborg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin McMillan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.