19 Septemba
Mandhari
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Septemba ni siku ya 262 ya mwaka (ya 262 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 103.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1983 - Nchi ya Saint Kitts na Nevis inapata uhuru kutoka Uingereza
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1911 - William Golding, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1983
- 1931 - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1933 - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1967 - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi
- 1971 - Sanaa Lathan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1339 - Go-Daigo, mfalme mkuu wa Japani (1318-1339)
- 1881 - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Januari wa Napoli, Trofimo wa Efeso, Peleo, Nilo na wenzao, Eustoki wa Tours, Sekwani, Mariano wa Bourges, Goeriki, Theodori wa Canterbury, Pomposa, Lambati wa Freising, Siriako wa Cosenza, Arnulfo wa Gap, Maria wa Msaada, Alfonso wa Orozco, Charles Hyon Songmun, Maria Guliema Emilia n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |