Alexander Karelin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexander Karelin

Alexander Karelin (amezaliwa 19 Septemba 1967) ni Shujaa wa Shirikisho la Kirusi na mpigaji mwereka. Yeye alishinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki ya miaka ya 1988, 1992, na 1996.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Karelin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.