Nenda kwa yaliyomo

Sanaa Lathan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanaa Lathan
Sanaa Lathan mnamo 2011
Sanaa Lathan mnamo 2011
Jina la kuzaliwa Sanaa McCoy Lathan
Alizaliwa 19 Septemba 1971
Marekani
Kazi yake Mwigizaji wa filamu.
Miaka ya kazi 1996- hadi leo

Sanaa McCoy Lathan (Amezaliwa tar. 19 Septemba 1971) ni mwigizaji mteule wa tuzo ya Tony (Tony Award) kama mwigizaji bora filamu wa kike Marekani.

Filamu alizoigiza Sanaa

[hariri | hariri chanzo]
MwakaJina la FilamuJina alilotumiaMaelezo mengine
2006Nip/TuckMichelle Landaurecurring role
2006Something NewKenya McQueen
2004Alien vs. PredatorAlexa Woods
2003Out of TimeAnn Merai Harrison
2002Brown SugarSidney 'Sid' Shaw
2000Disappearing ActsZora Banks
2000Love & BasketballMonica Wright
1999The Best Man Robin
1999The WoodAlicia
1998BladeVanessa Brooks

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanaa Lathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.