Maria Guliema Emilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Emilia alivyochorwa.

Maria Guliema Emilia (6 Septemba 1787 - 19 Septemba 1852), alikuwa mtawa wa Ufaransa na mwanzilishi wa Shirika la Masista wa Familia Takatifu wa Villefranche kwa ajili ya kulea wasichana na kuhudumia maskini.

Pia ni maarufu kwa maandishi yake kuhusu maisha ya kiroho yaliyopatikana tu baada ya kifo chake[1].

Papa Pius XII alimtangaza mwenyeheri tarehe 9 Juni 1940, halafu mtakatifu tarehe 23 Aprili 1950.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Histoire de la spiritualité chrétienne 2010 Page 227
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • V. Schauber: Pattloch-Namenstagskalender, Dokumentation H. M. Schindler, Augsburg 1994, page 284
  • V. Schauber-H. M. Schindler: Heilige und Namenspatrone im Jahreslauf, München 2001, page 488
  • Agnes Baillie, Cunninghame Dunbar: A Dictionary of Saintly Women (1904), page 270.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.