Januari mfiadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha iliyozoeleka ya Mt. Januari.

Januari mfiadini (Benevento au Napoli, mkoa wa Campania, leo nchini Italia - Pozzuoli, Campania) alikuwa askofu na mfiadini wa karne ya 3

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Septemba.


Kifodini cha Mt. Januari kilivyochorwa na Girolamo Pesce.
Kifodini cha Mt. Januari kadiri ya Artemisia Gentileschi (1636).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Januari mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.