Sully Prudhomme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sully Prudhomme

Sully Prudhomme (16 Machi 18397 Septemba 1907) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa René-François-Armand Prudhomme. Mashairi yake yanaonyesha sifa za ujumi. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Nobel kwa Fasihi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sully Prudhomme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.