22 Mei
Mandhari
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Mei ni siku ya 142 ya mwaka (ya 143 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 223.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1813 - Richard Wagner, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1912 - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1927 - George Olah, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1994
- 1954 - Shuji Nakamura, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2013
- 1983 - Cynthia Muvirimi, mwanamitindo kutoka Zimbabwe
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 337 - Flavius Valerius Constantinus aliyejulikana kama Kaisari Konstantino Mkuu na kumaliza dhuluma dhidi ya Wakristo katika Dola la Roma
- 1068 - Go-Reizei, mfalme mkuu wa Japani (1045-1068)
- 1457 - Mtakatifu Rita wa Cascia, mjane kutoka Italia aliyejiunga na utawa wa Waaugustino
- 1667 - Papa Alexander VII
- 1885 - Victor Hugo, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1983 - Albert Claude, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1997 - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1999 - Abdallah Rashid Sembe, mwanasiasa wa Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Rita wa Cascia, Kasto na Emilio, Basilisko wa Gumenek, Julia wa Corsica, Kwiteria, Ausoni wa Angouleme, Lupo wa Limoges, Yohane wa Parma, Atoni wa Pistoia, Mikaeli Ho Dinh Hy, Dominiko Ngon, Luiji Maria Palazzolo n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |