Go-Reizei wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Go-Reizei)

Go-Reizei (28 Agosti, 102522 Mei, 1068) alikuwa mfalme mkuu wa 70 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Chikahito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Go-Suzaku. Mwaka wa 1045 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Go-Sanjo.

Ishara za mapambo (kiri) za ukoo wa Hosokawa hupatikana huko Ryōan-ji. Horikawa ni miongoni mwa watawala wengine sita waliowekwa ndani karibu na ile iliyokuwa makazi ya Hosokawa Katsumoto kabla ya Vita vya Ōnin.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Reizei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.