Julia wa Corsica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Julia katika kioo cha rangi cha kanisa kuu la Meaux.

Julia wa Corsica (pia: Julia wa Karthago; alifariki 439 hivi) alikuwa bikira Mkristo kutoka Karthago (leo nchini Tunisia) aliyeuawa katika kisiwa cha Corsica (leo nchini Ufaransa) wakati wa dhuluma ya mfalme wa Wavandali.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 22 Mei.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.