Kioo cha rangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matukio mbalimbali ya maisha ya Yesu katika kanisa kuu la Milano, Italia.
Mfalme Daudi katika kanisa kuu la Augsburg, Ujerumani, 1130 hivi.
Katika kuba la basilika la Santa Maria degli Angeli e dei Martiri, Roma, Italia.
Kazi za Arnaldo Dell'Ira, 1930 hivi.

Kioo cha rangi (kwa Kiingereza "Stained glass") ni aina ya sanaa inayotumia rangi mbalimbali za kioo kuonyesha sura maalumu au kupendeza tu kwa uzuri.

Kwa kawaida kinatumika katika madirisha, hasa ya makanisa, lakini asili yake ni Dola la Roma katika karne ya 1.


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: