Herbert Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Herbert Brown (22 Mei 191219 Desemba 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Ukraine kwa jina la Herbert Brovarnik. Hasa alichunguza misombo mbalimbali. Mwaka wa 1979, pamoja na Georg Wittig alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.