George Olah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Olah

George Andrew Olah (amezaliwa 22 Mei 1927) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Hungaria. Mwaka wa 1971 alipata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza sifa za kaboni na asidi. Mwaka wa 1994 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Olah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.