Lupo wa Limoges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Lupo katika dirisha la kioo cha rangi.

Lupo wa Limoges (pia: Loup, Leu; alifariki Limoges, leo nchini Ufaransa, 22 Mei 637) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 614, aliyesaini uanzishaji wa monasteri ya Solesme[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.