Nenda kwa yaliyomo

Yohane wa Parma (abati)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane wa Parma, O.S.B. (Parma, Emilia-Romagna, karne ya 10 - Parma, 22 Mei 990) alikuwa abati nchini Italia baada ya kuwa kanoni na kuhiji mara kadhaa Yerusalemu alipojiunga na umonaki [1].

Katika monasteri yake alipanga zifuatwe taratibu kadhaa alizoshauriwa na Mayolo wa Cluny.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Vita di San Giovanni I Abate, Parma, Monastero Benedettino S. Giovanni Ev., 1980.
  • Luigi Canetti, GIOVANNI da Parma, santo, in Dizionario biografico degli italiani, vol. 56, Roma, Istituto dell'Enciclopedia Italiana, 2001.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.