Mayolo wa Cluny

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Mayolo, Souvigny, Ufaransa.

Mayolo wa Cluny (pia: Majolus, Maieul, Mayeul, Mayeule; Avignon, leo nchini Ufaransa, 906 hivi - Souvigny, 11 Mei 994[1]) alikuwa abati wa nne wa monasteri ya Kibenedikto ya Cluny.

Akiwa imara katika imani na tumaini, na mwingi wa upendo, alisafiri sana kuhamasisha urekebisho wa monasteri nyingine nyingi katika nchi mbalimbali akiziweka chini ya ile ya Cluny[2][3][4].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[5].

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.