Victor Hugo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Victor Hugo

Victor Hugo (26 Februari 180222 Mei 1885) alikuwa mwandishi muhimu wa kipindi cha uromantiki nchini Ufaransa.

Alitunga riwaya, mashairi na tamthiliya nyingi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victor Hugo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.