Fabriano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Fabriano
Mandhari ya Fabriano katika bonde lake.
Mandhari ya Fabriano katika bonde lake.
Fabriano is located in Italia
Fabriano
Fabriano
Mahali pa Fabriano katika Italia
Anwani ya kijiografia: 43°20′00″N 12°55′00″E / 43.333333°N 12.916667°E / 43.333333; 12.916667
Nchi Italia
Mkoa Marche
Wilaya Ancona
Idadi ya wakazi
 - 30,676
Tovuti: http://www.piazzalta.it/

Fabriano ni mji mdogo wa mkoa wa Marche nchini Italia.

Una wakazi 31,781 (2009) kwenye mita 325 juu ya usawa wa bahari; eneo lote ni la kilometa mraba 269,61.

Ni maarufu duniani kwa sababu ya utengenezaji wa karatasi bora kuanzia karne ya 13.