Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Makardinali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007.

Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza jina lake. Uteuzi huu huitwa "in pectore" (kilatini "moyoni"). Hii inaweza kutokea hasa kama ni kardinali kutoka nchi pasipo uhuru wa kidini au nchi ambayo haina uhusiano mzuri na kanisa katoliki. Tarehe hii hakuwepo yeyote wa namna hiyo.

Majina yamepangwa kufuatana na bara na nchi.


Jina Shirika la kitawa Nchi Bara
Afrika:
Wilfrid Fox Napier OFM Afrika Kusini Afrika
Alexandre do Nascimento Angola Afrika
Bernardin Gantin Benin Afrika
Bernard Agré Côte d'Ivoire Afrika
Peter Poreku Dery Ghana Afrika
Peter Turkson Ghana Afrika
Christian Wiyghan Tumi Kamerun Afrika
John Njue Kenya Afrika
Armand Gaétan Razafindratandra Madagaska Afrika
Stephanos II. Ghattas C.M. Misri Afrika
Jean Margéot Morisi Afrika
Alexandre José Maria dos Santos Msumbiji Afrika
Francis Arinze Nigeria Afrika
Anthony Olubunmi Okogie Nigeria Afrika
Théodore-Adrien Sarr Senegal Afrika
Gabriel Zubeir Wako Sudan Afrika
Polycarp Pengo Tanzania Afrika
Emmanuel Wamala Uganda Afrika
Amerika ya Kaskazini:
Marc Ouellet SPP Kanada Amerika ya Kaskazini
Aloysius Matthew Ambrozic Kanada Amerika ya Kaskazini
Jean-Claude Turcotte Kanada Amerika ya Kaskazini
Sean Patrick O'Malley O.F.M.Cap. Marekani Amerika ya Kaskazini
Francis Eugene George OMI Marekani Amerika ya Kaskazini
Avery Dulles SJ Marekani Amerika ya Kaskazini
William Wakefield Baum Marekani Amerika ya Kaskazini
Anthony Joseph Bevilacqua Marekani Amerika ya Kaskazini
Daniel DiNardo Marekani Amerika ya Kaskazini
Edward Michael Egan Marekani Amerika ya Kaskazini
John Patrick Foley Marekani Amerika ya Kaskazini
William Henry Keeler Marekani Amerika ya Kaskazini
Bernard Francis Law Marekani Amerika ya Kaskazini
William Joseph Levada Marekani Amerika ya Kaskazini
Roger Michael Mahony Marekani Amerika ya Kaskazini
Adam Joseph Maida Marekani Amerika ya Kaskazini
Theodore Edgar McCarrick Marekani Amerika ya Kaskazini
Justin Francis Rigali Marekani Amerika ya Kaskazini
James Francis Stafford Marekani Amerika ya Kaskazini
Edmund Casimir Szoka Marekani Amerika ya Kaskazini
Amerika ya Kusini:
Jorge Mario Bergoglio SJ Argentina Amerika ya Kusini
Estanislao Esteban Karlic Argentina Amerika ya Kusini
Jorge Maria Mejia Argentina Amerika ya Kusini
Leonardo Sandri Argentina Amerika ya Kusini
Julio Terrazas Sandoval CSSR Bolivia Amerika ya Kusini
Paulo Evaristo Arns O.F.M. Brazil Amerika ya Kusini
Cláudio Hummes OFM Brazil Amerika ya Kusini
Aloísio Lorscheider OFM Brazil Amerika ya Kusini
Eusébio Oscar Scheid S.C.I. Brazil Amerika ya Kusini
Geraldo Majella Agnelo Brazil Amerika ya Kusini
Serafím Fernandes de Araújo Brazil Amerika ya Kusini
José Freire Falcão Brazil Amerika ya Kusini
Eugenio Sales de Araujo Brazil Amerika ya Kusini
Odilo Pedro Scherer Brazil Amerika ya Kusini
Francisco Javier Errázuriz Ossa Schönstatt-Patres Chile Amerika ya Kusini
Jorge Arturo Medina Estévez Chile Amerika ya Kusini
Antonio José González Zumárraga Ecuador Amerika ya Kusini
Rodolfo Quezada Toruño Guatemala Amerika ya Kusini
Oscar Andrés Rodríguez Maradiaga SDB Honduras Amerika ya Kusini
Nicolás de Jesús López Rodríguez Jamhuri ya Dominika Amerika ya Kusini
Darío Castrillón Hoyos Kolombia Amerika ya Kusini
Alfonso López Trujillo Kolombia Amerika ya Kusini
Pedro Rubiano Sáenz Kolombia Amerika ya Kusini
Jaime Lucas Ortega y Alamino Kuba Amerika ya Kusini
Ernesto Corripio y Ahumada Mexiko Amerika ya Kusini
Javier Lozano Barragán Mexiko Amerika ya Kusini
Norberto Rivera Carrera Mexiko Amerika ya Kusini
Juan Sandoval Iñiguez Mexiko Amerika ya Kusini
Adolfo Antonio Suárez Rivera Mexiko Amerika ya Kusini
Francisco Robles Ortega Mexiko Amerika ya Kusini
Miguel Obando Bravo SDB Nicaragua Amerika ya Kusini
Juan Luis Cipriani Thorne Peru Amerika ya Kusini
Luis Aponte Martínez Puerto Rico Amerika ya Kusini
Jorge Urosa Sabino Venezuela Amerika ya Kusini
Asia:
Joseph Zen Ze-kiun SDB Hongkong (China) Asia
Julius Riyadi Darmaatmadja SJ Indonesia Asia
Emmanuel III. Delly Iraki Asia
Stephen Fumio Hamao Japani Asia
Peter Seiichi Shirayanagi Japani Asia
Nicholas Cheong-Jin-Suk Korea Kusini Asia
Stephen Kim Sou-hwan Korea Kusini Asia
Nasrallah Pierre Sfeir Lebanoni Asia
Ignace Moussa I. Daoud Syria Asia
Paul Shan Kui-hsi SJ Taiwan Asia
Gaudencio Borbon Rosales Ufilipino Asia
José Sánchez Ufilipino Asia
Ricardo Vidal Ufilipino Asia
Varkey Vithayathil CSSR Uhindi Asia
Ivan Dias Uhindi Asia
Oswald Gracias Uhindi Asia
D. Simon Lourdusamy Uhindi Asia
Simon Ignatius Pimenta Uhindi Asia
Telesphore Placidus Toppo Uhindi Asia
Michael Michai Kitbunchu Uthai Asia
Phaolo-Giuse Pham Dinh Tung Vietnam Asia
Jean-Baptiste Pham Minh Mân Vietnam Asia
Australia na Pasifiki:
Edward Idris Cassidy Australia Australia na Pasifiki
Edward Bede Clancy Australia Australia na Pasifiki
George Pell Australia Australia na Pasifiki
Thomas Stafford Williams New Zealand Australia na Pasifiki
Ulaya:
Christoph Schönborn OP Austria Ulaya
Alfons Maria Stickler S.D.B Austria Ulaya
Kazimierz Swiatek Belarus Ulaya
Vinko Puljić Bosnia-Herzegovina Ulaya
Seán Brady Eire Ulaya
Desmond Connell Eire Ulaya
Cahal Brendan Daly Eire Ulaya
Keith Michael Patrick O’Brien Eire Ulaya
Carlos Amigo Vallejo O.F.M. Hispania Ulaya
Urbano Navarrete Cortés SJ Hispania Ulaya
Francisco Álvarez Martínez Hispania Ulaya
Antonio Cañizares Llovera Hispania Ulaya
Ricardo María Carles Gordó Hispania Ulaya
Agustín García-Gasco Vicente Hispania Ulaya
Julián Herranz Casado Hispania Ulaya
Lluís Martínez Sistach Hispania Ulaya
Eduardo Martínez Somalo Hispania Ulaya
Antonio María Rouco Varela Hispania Ulaya
László Paskai OFM Hungaria Ulaya
Péter Erdő Hungaria Ulaya
Umberto Betti OFM Italia Ulaya
Tarcisio Bertone SDB Italia Ulaya
Raffaele Farina SDB Italia Ulaya
Carlo Maria Martini SJ Italia Ulaya
Roberto Tucci SJ Italia Ulaya
Fiorenzo Angelini Italia Ulaya
Ennio Antonelli Italia Ulaya
Lorenzo Antonetti Italia Ulaya
Angelo Bagnasco Italia Ulaya
Giacomo Biffi Italia Ulaya
Agostino Cacciavillan Italia Ulaya
Carlo Caffarra Italia Ulaya
Giovanni Canestri Italia Ulaya
Marco Cé Italia Ulaya
Giovanni Cheli Italia Ulaya
Angelo Comastri Italia Ulaya
Giovanni Coppa Italia Ulaya
Andrea Cordero Lanza di Montezemolo Italia Ulaya
Salvatore De Giorgi Italia Ulaya
Carlo Furno Italia Ulaya
Michele Giordano Italia Ulaya
Antonio Innocenti Italia Ulaya
Pio Laghi Italia Ulaya
Giovanni Lajolo Italia Ulaya
Francesco Marchisano Italia Ulaya
Renato Raffaele Martino Italia Ulaya
Attilio Nicora Italia Ulaya
Virgilio Noé Italia Ulaya
Silvano Piovanelli Italia Ulaya
Luigi Poggi Italia Ulaya
Severino Poletto Italia Ulaya
Giovanni Battista Re Italia Ulaya
Camillo Ruini Italia Ulaya
Giovanni Saldarini Italia Ulaya
Angelo Scola Italia Ulaya
Sergio Sebastiani Italia Ulaya
Crescenzio Sepe Italia Ulaya
Achille Silvestrini Italia Ulaya
Angelo Sodano Italia Ulaya
Dionigi Tettamanzi Italia Ulaya
Ersilio Tonini Italia Ulaya
Agostino Vallini Italia Ulaya
Josip Bozanić Kroatia Ulaya
Janis Pujats Latvia Ulaya
Audrys Juozas Bačkis Lithuania Ulaya
Henryk Roman Gulbinowicz Lithuania Ulaya
Stanisław Nagy S.C.I. Poland Ulaya
Andrzej Maria Deskur Poland Ulaya
Stanislaw Dziwisz Poland Ulaya
Józef Glemp Poland Ulaya
Zenon Grocholewski Poland Ulaya
Franciszek Macharski Poland Ulaya
Stanisław Rylko Poland Ulaya
Ján Chryzostom Korec SJ Slovakia Ulaya
Jozef Tomko Slovakia Ulaya
Franc Rodé C.M. Slovenia Ulaya
Godfried Danneels Ubelgiji Ulaya
Tomáš Špidlík SJ Uceki Ulaya
Miloslav Vlk Uceki Ulaya
Albert Vanhoye SJ Ufaransa Ulaya
Philippe Barbarin Ufaransa Ulaya
Roger Etchegaray Ufaransa Ulaya
Jean-Marcel Honoré Ufaransa Ulaya
Bernard Panafieu Ufaransa Ulaya
Paul Poupard Ufaransa Ulaya
Jean-Pierre Ricard Ufaransa Ulaya
Jean-Louis Tauran Ufaransa Ulaya
André Vingt-Trois Ufaransa Ulaya
Adrianus Johannes Simonis Uholanzi Ulaya
Cormac Murphy-O’Connor Uingereza Ulaya
Paul Augustin Mayer OSB Ujerumani Ulaya
Paul Josef Cordes Ujerumani Ulaya
Walter Kasper Ujerumani Ulaya
Karl Lehmann Ujerumani Ulaya
Joachim Meisner Ujerumani Ulaya
Georg Maximilian Sterzinsky Ujerumani Ulaya
Friedrich Wetter Ujerumani Ulaya
Ljubomyr Husar MSU Ukraine Ulaya
Marian Jaworski Ukraine Ulaya
José Saraiva Martins CMF Ureno Ulaya
José da Cruz Policarpo Ureno Ulaya
Georges Marie Martin Cottier O.P. Uswisi Ulaya
Gilberto Agustoni Uswisi Ulaya
Henri Schwery Uswisi Ulaya