Nenda kwa yaliyomo

Raffaele Farina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Raffaele Farina

Raffaele Farina S.D.B. (alizaliwa 24 Septemba 1933) ni kardinali wa Italia katika Kanisa Katoliki.

Aliwahi kuwa Mhakiki wa Kumbukumbu za Siri za Vatikani, Mhakiki wa Maktaba ya Vatikani, na rais (Consiglio di Presidenza) wa Shuleya Paleografia, Diplomasia, na Uhifadhi wa Kumbukumbu ya Vatikani.

Farina alipewa hadhi ya kardinali mwaka 2007.[1] [2]

  1. "asv.vatican.va". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Machi 2009. Iliwekwa mnamo 20 Machi 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://cardinals.fiu.edu/bios2007.htm#Farina
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.