Liturujia ya Braga
Mandhari
Liturujia ya Braga ni liturujia maalumu inayotumika tangu karne ya 6 hasa katika jimbo kuu la Braga (Ureno).
Inahusiana na aina nyingine za liturujia ya Kilatini, kama vile liturujia ya Toledo na liturujia ya Roma.
Baada ya Mtaguso wa pili wa Vatikano, jimbo kuu la Braga limeamua (1971) mapadri waweze kuendelea kwa hiari yao na liturujia hiyo au kutumia ile ya Roma.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Misale ya Braga kwa Kilatini Archived 20 Machi 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liturujia ya Braga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |