Darío Castrillón Hoyos
Mandhari

Darío del Niño Jesús Castrillón Hoyos (4 Julai 1929 – 18 Mei 2018) alikuwa kardinali wa Kolombia wa Kanisa Katoliki.
Alihudumu kama Mkuu wa Idara ya Makleri kuanzia mwaka 1996 hadi 2006 na Rais wa Tume ya Kipapa Ecclesia Dei kutoka mwaka 2000 hadi alipostaafu mwaka 2009. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1998.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "RTÉ television programme "Unspeakable Crimes"". Iliwekwa mnamo 1 Februari 2011.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |