Nenda kwa yaliyomo

Wavinsenti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka C.M.)

Wavinsenti ni Wakristo wa Kanisa Katoliki na wa Ushirika wa Anglikana wanaofuata karama, mafundisho na mfano vya Vinsenti wa Paulo, padri wa karne ya 17 aliyebadili sura ya nchi yake, Ufaransa, hasa kwa kuhudumia kwa upendo watu fukara.

Ni kati ya familia za kiroho kubwa zaidi duniani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wavinsenti kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.