Papa Silvester II
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Sylvester II)
Papa Silvester II (takriban 950 – 12 Mei 1003) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Aprili 999 hadi kifo chake[1]. Alitokea Akwitania, Ufaransa[2]. .
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gerbert d'Aurillac.
Alimfuata Papa Gregori V akafuatwa na Papa Yohane XVII.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Silvester II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |